Latest News and UpdatesPosted On : 2024-02-27


WARATIBU WA MRADI WA HEET WA IFM WAKISHIRIKI KIKAO KAZI KINACHOFANYIKA UKUMBI MPYA WA MAKTABA, CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM, 27 – 29 FEBRUARI 2024


Baadhi ya Waratibu wa Mradi wa HEET wa IFM, pamoja na waratibu wengine wa vyuo na taasisi zinazotekeleza Mradi wa HEET, wakishiriki katika kikao kazi, kinachofanyika Ukumbi Mpya wa Maktaba uliopo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kikao hiki kinafanyika kuanzia leo tarehe 27 hadi 29 Februari 2024. Wahudhuriaji watatoa na watapokea Taarifa ya Utekelezaji wa Mradi wa HEET katika ngazi ya Taasisi husika, lengo likiwa ni kubaini changamoto na kuzitafutia ufumbuzi stahiki. Pia kikao hiki ni katika kujiandaa kabla ya Mkutano na Benki Kuu utakaofanyika mwezi Aprili 2024.

PAYMENT PORTAL

PROGRAMME BROCHURE

COLLABORATIONS

HEET PROJECT

IFM PROSPECTUS

SHORT COURSES

ALMANAC 2023/2024

CONTACT US

Main Campus
contact our main campus via
P.O Box 3918, 5 Shaaban Robert Street
11101 Dar es salaam
+255 22 2112931-4
Fax : +255 22 2112935
rector@ifm.ac.tz