Maonesho ya pili ya NACTE 2021

IFM yashiriki Maonesho ya pili ya NACTE, Pichani Mkuu wa Chuo Prof.Tadeo Satta akiwa na baadhi ya Wafanyakazi katika Banda la Chuo.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Antony Mtaka katika picha ya pamoja na baadhi ya Wafanyakazi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), alipotembelea banda la Chuo katika maonesho ya NACTE Dodoma.