Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi Teknolojia na Ubunifu, MAKISATU 2021.

Karimu Mahmoud Khatwabi ni mwanafunzi wetu wa BSC. Yeye ni finalist (top 10) wa Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi Teknolojia na Ubunifu., MAKISATU 2021. Akiwa na ubinifu wake ambao umemuwezesha kuvuka hatua zote za awali tangu mwaka jana hadi sasa kwenye finali zinazofanyika Dodoma. Hii ni leo 08/05/2021

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *