Latest News and UpdatesPosted On : 2024-05-01


WAFANYAKAZI WA IFM WAADHIMISHA SIKUKUU YA MEI MOSI 2024


Wafanyakazi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha Sikukuu ya Mei Mosi 2024. Sikukuu hii imeadhimishwa katika Kampasi mbalimbali za IFM (kutoka juu kushoto: Kampasi ya Simiyu wakielekea uwanja wa CCM Makao Makuu ya Mkoa wa Simiyu; Kampasi ya Mwanza wakielekea Viwanja vya CCM Kirumba; Kampasi ya Dodoma wakielekea Viwanja vya Jamhuri; na Kampasi Kuu ya Dar es Salaam wakielekea Uwanja wa Uhuru).

Kauli mbiu ya Mei Mosi kwa Mwaka 2024 ni “Nyongeza ya Mishahara ni Msingi wa Mafao Bora na Kinga dhidi ya Hali Ngumu ya Maisha”. Kaulimbiu hii inaendana na uhalisia wa Maisha ya Mfanyakazi kwa sasa, ikiakisi kupanda kwa gharama za maisha ambazo zinalazimisha pia kupanda kwa mishahara.

 

PAYMENT PORTAL

BROCHURES

COLLABORATIONS

HEET PROJECT

IFM PROSPECTUS

SHORT COURSES

ALMANAC 2023/2024

CONTACT US

Main Campus
contact our main campus via
P.O Box 3918, 5 Shaaban Robert Street
11101 Dar es salaam
+255 22 2112931-4
Fax : +255 22 2112935
rector@ifm.ac.tz