ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM) KUPITIA OFISI YA RAIS – TAMISEMI KWA MWAKA WA MASOMO 2026/2027

ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM) KUPITIA OFISI YA RAIS – TAMISEMI KWA MWAKA WA MASOMO 2026/2027

Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kinapenda kuwataarifu wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na chuo kupitia Ofisi ya Rais – TAMISEMI kwa mwaka wa masomo 2026/2027 kuwa orodha ya majina ya waliochaguliwa imeambatishwa kwenye tangazo hili.
Wanafunzi wote waliochaguliwa katika matawi ya Dar es Salaam, Mwanza, Dodoma, Simiyu, Geita na Zanzibar wanatakiwa kuthibitisha kujiunga na chuo kwa kutembelea mfumo wa udahili kupitia kiunganishi kifuatacho:
https://ems.ifm.ac.tz/application/apply/tamisemi


Baada ya kukamilisha uthibitisho wa kujiunga na chuo, mwanafunzi ataweza kupata nyaraka zote za kujiunga (Joining Instructions) kupitia akaunti yake kwenye mfumo.
Masomo yanatarajiwa kuanza rasmi tarehe 26 mwezi Oktoba, 2026. Endapo kutakuwa na mabadiliko yoyote kuhusu tarehe ya kuanza masomo, taarifa zitatolewa kupitia njia rasmi za mawasiliano za chuo.
Kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana na Help Desk kupitia namba zifuatazo:
•    Dar es Salaam: +255 734 205030 / +255 734 205029 / +255 734 205028
•    Mwanza: +255 734 205026
•    Dodoma: +255 734 205025
Imetolewa na:
Ofisi ya Udahili
Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM)


Posted on: 2026-06-15 05:40:38

CAMPUSES AND TEACHING CENTRES

All Campuses of The Institute of Finance Management

STRATEGIC PARTNERS

We are proud working with the best team of strategic partners.

Application Window for Certificate, Diploma, Postgraduate Diploma, Masters - September Intake 2026-2027 and PhD is Now Open - Click Here to apply