News Posts

TUNAWATAKIA MITIHANI NA MAANDALIZI MEMA WANAFUNZI WOTE WA KIDATO CHA SITA

Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) Kinawatakia shule, walimu, wazazi na walezi kila la heri wanapokabiliana na kipindi hiki maalum kwa wapendwa wao, na kuwatakia mafanikio mema wanafunzi wa kidato cha sita wanapoanza mitihani yao ya mwisho kuanzia tarehe 5 Mei, 2025.

Maombi yetu yako pamoja nanyi nyote.
IFM inawakaribisha wahitimu wote hapo baadaye kujiunga na Elimu ya Juu.

TupoJuu#PopoteUtakapokwendaIFMniIleile#Daresalaam#Mwanza#Dodoma#Simiyu#Geita#Zanzibar#


2025-05-04 19:26:41

CAMPUSES AND TEACHING CENTRES

All Campuses of The Institute of Finance Management

STRATEGIC PARTNERS

We are proud working with the best team of strategic partners.

Application Window for Postgraduate September Intake 2025-2026 is Now Open - Click Here to apply