News Posts

MATOKEO YA CPA 2024! CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM) KIMEANDIKA HISTORIA YA MAFANIKIO KWA MARA NYINGINE TENA !

Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kimeshika nafasi ya pili (2) tena kati ya vyuo vyote kitaifa katika matokeo ya CPA ya 2024.
Pia, Chuo kimepewa vyeti vya kufanya vizuri katika matokeo ya Novemba 2023 na Mei 2024 katika hafla iliyoandaliwa na tassisi ya NBAA  tarehe 28 Septemba 2024.
Menejimenti ya Chuo na Baraza la Uongozi wanawapongeza wafanyakazi na wahitimu wa "programs" za Bachelor of Accounting (BAC) na Bachelor of Account with Information Technology (BAIT) kwa mafanikio haya

JIFUNZE UHUDUMIE
# IFM Tupo Juu!
#Kila utakapokwenda IFM ni ile ile!
#Dar es salaam# Mwanza# Simiyu# Dodoma#Geita
#Kazi iendelee!


2024-10-03 08:41:23

CAMPUSES AND TEACHING CENTRES

All Campuses of The Institute of Finance Management

STRATEGIC PARTNERS

We are proud working with the best team of strategic partners.

Application Window for September Intake 2025-2026 is Now Open - Click Here to apply

UCHAGUZI 2025
Kujiandikisha kuwa mpiga kura ni msingi
wa uchaguzi bora