News Posts

IFM YAIBUKA MSHINDI WA PILI MATOKEO YA JUMLA

Mkuu wa Idara ya Uhasibu na Fedha wa IFM, CPA Dr Erick Lusekelo Mwambuli, akipokea cheti cha kufanya vizuri zaidi kwa Chuo Cha IFM katika mitihani ya CPA kitaifa kwa msimu wa Nov 2023 na May 2024. IFM iliibuka mshindi wa pili kitaifa katika mitihani hiyo.

Anayemkabidhi cheti ni Naibu Waziri wa Fedha, Mh Othman Chande (MB) (aliyempa mkono) akiwa na Mkurugenzi wa NBAA, CPA Pius Maneno (kulia) na Mwenyekiti wa board ya NBAA, CPA Prof Sylvia Temu (kushoto) katika mahafali ya NBAA 2024, yaliyofanyika Ukumbi wa APC Bunju Dar es Salaam, siku ya Jumamosi, tarehe 29 Septemba 2024.


2024-10-03 05:18:00

IFM PROSPECTUS
SHORT COURSES
TAMISEMI CONFIRMATION
HEET PROJECT
PAYMENT PORTAL
COLLABORATIONS
ALMANAC 2024/2025

CONTACT US

P.O Box 3918, 5 Shaaban Robert Street

11101 Dar es salaam, Tanzania

+255 22 2112931-4

Fax : +255 22 2112935

rector@ifm.ac.tz

VISITOR COUNT

Today

5

Yesterday

1,805

All

1,149,673

CAMPUSES AND TEACHING CENTRES

All Campuses of The Institute of Finance Management

STRATEGIC PARTNERS

We are proud working with the best team of strategic partners.

Application Window for 2024-2025 Studies is Open - Click Here to apply