Posted On : 2024-04-17
Picha ya pamoja baada ya viongozi wa umoja wa wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha “The Institute of Finance Management Students’ Organisation – IFMSO”, kukabidhi visima viwili vya maji kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bagamoyo, Bw. Majid Mhina (wa kwanza kushoto). Visima hivi vilikabidhiwa kwa viongozi wa Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo tarehe 13 Aprili 2024, ikiwa kama sehemu ya kutoa misaada kwa jamii na kuchangia maendeleo ya nchi kwa ujumla. Viongozi mbalimbali walishuhudia tukio hili (kuendelea kutoka kushoto: Dkt Michael N Sam, Afisa Habari wa Chuo; Bw Hamisi Kihongoa, Mshauri wa wanafunzi; Bi Mwanaharusi Hamisi Jarufu, Diwani wa Kata ya Magomeni, Halmashauri Bagamoyo; Dkt Luiana Lyimo, mwakilishi wa Mganga Mkuu wa Wilaya, Dkt Shabani Ngole, mwakilishi wa Mkuu wa Chuo; Bw Sweetbert Macha, Mwenyekiti wa Kamati ya Matendo ya Hisani; na Bw Jerome Zachariah, Katibu wa Kamati ya Matendo ya Hisani).
WAFANYAKAZI WA IFM WAADHIMISHA SIKUKUU YA MEI MOSI 2024
2024-05-01 |
CAPACITY BUILDING PROGRAMS FROM NAZIM HUSSAIN, A VISITING PROFESSOR FROM THE UNIVERSITY OF GRONINGEN, THE NETHERLANDS
2024-05-01 |
THE IFM ALUMNI MEETING AT IFM
2024-04-30 |
IFMSO WAKABIDHI MISAADA KWA MLEZI WA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA AMANI, KILICHOPO ZINGA - BAGAMOYO
2024-04-17 |
PAYMENT PORTAL |
BROCHURES |
COLLABORATIONS |
HEET PROJECT |
IFM PROSPECTUS |
SHORT COURSES |
ALMANAC 2023/2024 |