Posted On : 2024-05-27
“Ni muhimu sana kuwa makini kwenye uadilifu, maana huu ni msingi mkuu wa utumishi wa umma”. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha, Prof Josephat Lotto (Picha ya Chini; katikati – mstari wa waliokaa), Tarehe 24 Mei 2024, alipokuwa akifungua mafunzo ya Utawala Bora na Uadilifu kwa Wajumbe wa Kamati Maalumu ya Menejimenti. Aliongezea kuwa, “uadilifu ndiyo nguzo muhimu katika kuimarisha uwazi na uwajibikaji”.
Mafunzo hayo yamefanyika kwa siku tatu, tarehe 22 – 24 Mei 2024, katika Chuo cha Usimamizi wa Fedha. Mafunzo ya Utawala Bora na Uadilifu yalitolewa kwa Maafisa Mrejesho na Wajumbe wa Kamati ya Uadilifu (Picha ya Juu), na kwa Wajumbe wa Kamati Maalumu ya Menejimenti (Picha ya Chini). Mafunzo hayo yalitolewa na wawezeshaji kutoka Ofisi ya Raisi – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, na kutoka Ofisi ya Raisi – Ikulu. Lengo lilikuwa ni kuongeza uelewa kuhusu utawala bora kwa wajumbe wa kamati hizo.
THE SIGNING OF AN MOU BETWEEN THE INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT AND THE UNIVERSITY OF STRATHCLYDE BUSINESS SCHOOL (SBS) THROUGH THE HEET PROJECT ON MAY 29, 2024
2024-06-05 |
IFMSO's IFM Entrepreneurship Week
2024-05-27 |
WAFANYAKAZI WA IFM WAADHIMISHA SIKUKUU YA MEI MOSI 2024
2024-05-01 |
CAPACITY BUILDING PROGRAMS FROM NAZIM HUSSAIN, A VISITING PROFESSOR FROM THE UNIVERSITY OF GRONINGEN, THE NETHERLANDS
2024-05-01 |
PAYMENT PORTAL |
BROCHURES |
COLLABORATIONS |
HEET PROJECT |
IFM PROSPECTUS |
SHORT COURSES |
ALMANAC 2023/2024 |
Application Window for 2024/2025 Studies - September Intake is Open, Click Here to Apply