Posted On : 2024-01-19
Katika kutekeleza dhima yake ya kutoa elimu na mafunzo kwa kiwango cha juu, ili kuibua uvumbuzi na ubunifu utokanao na tafiti na ushauri elekezi, Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha, Prof. Josephat Lotto, na Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Bw Rashid Mchatta, wamesaini mkataba wa makubaliano kati ya taasisi zao.
Makubaliano haya yatasaidia taasisi hizi mbili katika nyanza za utafiti kwa kutatua matatizo mbalimbali kwa wananchi, na kutoa elimu katika nyanja tofauti kwa wafanyakazi wa Mkoa wa Pwani. Utiaji saini ulishuhudiwa na wahusika wakuu, kwenye utekelezaji wa makubaliano, wa pande zote mbili.
MAFUNZO YA UTAWALA BORA NA UADILIFU KWA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI
2024-05-27 |
IFMSO's IFM Entrepreneurship Week
2024-05-27 |
WAFANYAKAZI WA IFM WAADHIMISHA SIKUKUU YA MEI MOSI 2024
2024-05-01 |
CAPACITY BUILDING PROGRAMS FROM NAZIM HUSSAIN, A VISITING PROFESSOR FROM THE UNIVERSITY OF GRONINGEN, THE NETHERLANDS
2024-05-01 |
PAYMENT PORTAL |
BROCHURES |
COLLABORATIONS |
HEET PROJECT |
IFM PROSPECTUS |
SHORT COURSES |
ALMANAC 2023/2024 |
Application Window for 2024/2025 Studies - September Intake is Open, Click Here to Apply