News Posts

KONGOLE KWA DKT. IRENE ISAKA!

Dkt. Irene Isaka ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF). IFM inajivunia kuendelea kuona mafanikio yake na mchango anaoendelea kuutoa kwenye jamii na nchi nzima. Chuo kinamtakia mafanikio mema kwenye majukumu yake mapya. 

Jifunze uhudumie.


2024-08-15 15:49:31

CAMPUSES AND TEACHING CENTRES

All Campuses of The Institute of Finance Management

STRATEGIC PARTNERS

We are proud working with the best team of strategic partners.