News Posts

IFM yaibuka mshindi sekta ya Vyuo Vya Elimu ya Juu WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA KITAIFA, 2024 - MBEYA
Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kimeibuka mshindi kwenye maonyesho ya Maadhimisho Ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa 2024, yaliyofanyika Mbeya. IFM, pamoja na mambo mengine, ilitoa elimu kwa kueneza programu yake ya "Certified Financial Educator" inayoendeshwa kwa kushirikiana na Benki Kuu ya Tanzania, na Elimu ya Ushiriki na Kuwekeza kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) Sambamba na hayo Chuo pia kilionyesha (showcasing) mafanikio yaliyopatiakana kwa kipindi cha hivi karibuni katika shindano la “DSE investment Scholar Challenge 2024” ambapo Chuo kilitoa mshindi kwa nafasi ya 1, 6, 8 na 9) kwa washindani wa mtu mmoja mmoja (kati ya washindani 816). Kwa upande wa washindani kwa ngazi ya makundi Chuo, kiliibuka mshindi kwa nafasi 1 na ya 2 (kati ya makundi 12). IFM #TupoJuuu#PopoteUtakapokwendaIFMniileile #Daresalaam#Mwanza#Simiyu#Dodoma#Geita

2024-10-28 07:35:26

IFM PROSPECTUS
SHORT COURSES
TAMISEMI CONFIRMATION
HEET PROJECT
PAYMENT PORTAL
COLLABORATIONS
ALMANAC 2024/2025

CONTACT US

P.O Box 3918, 5 Shaaban Robert Street

11101 Dar es salaam, Tanzania

+255 22 2112931-4

Fax : +255 22 2112935

rector@ifm.ac.tz

VISITOR COUNT

Today

1,154

Yesterday

671

All

1,166,936

CAMPUSES AND TEACHING CENTRES

All Campuses of The Institute of Finance Management

STRATEGIC PARTNERS

We are proud working with the best team of strategic partners.

Application Window for 2024-2025 Studies is Open - Click Here to apply