News Posts

CHUO CHA IFM, AMBACHO PIA KINATOA PROGRAMU ZA TEHAMA, KIMESHIRIKI SIKU YA "INTERNATIONAL GIRLS IN ICT" KATIKA KUCHOCHEA NA KUKUZA USHIRIKI WA WASICHANA KATIKA SEKTA YA TEHAMA

Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kimeshiriki siku ya "International Girls in ICT " iliyoadhimishwa leo tarehe 24 Aprili 2025 katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Washiriki walikuwa 19 wakiongozwa na Dr Mastidia Byanyuma ambaye ni Mhadhiri katika masomo ya TEHAMA, katika Chuo cha IFM. Mgeni rasmi alikuwa ni Mhe. Jerry Silaa (MB), Waziri wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
Chuo cha IFM kinatoa kozi mbali mbali za ICT kuanzia ngazi ya Cheti hadi Uzamili zikiwemo: 
■Basic Technician Certificate in Computing and Information Technology
■Ordinary Diploma in Computer Science
■Ordinary Diploma in Information Technology
■Bachelor of Science in Information Technology,
■Bachelor of Computer Science
■Bachelor in Cyber Security
■Bachelor of Accounting with IT
■Master of Banking and Information System Management
■Master of Science in Cyber Security
■Master of Science in Applied Data Analytics."
Tembelea mtandao wetu kwa taarifa zaidi: https://ifm.ac.tz/

#TupoJuu#PopoteUtakapokwendaIFMniIleIle#Daresalaam#Mwanza#Dodoma#Simiyu#Geita#Zanzibar#


2025-04-24 17:58:52

CAMPUSES AND TEACHING CENTRES

All Campuses of The Institute of Finance Management

STRATEGIC PARTNERS

We are proud working with the best team of strategic partners.

Application Window for Postgraduate September Intake 2025-2026 is Now Open - Click Here to apply