News Posts

CHUO CHA IFM CHAWANOA MAAFISA WA ZRA

Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM), wabobezi katika sekta ya kodi, kimetoa mafunzo ya kodi na usimamizi wa mapato kwa nchi zinazoendelea ( Advanced Tax Compliance and Revenue Administration in Emerging Economies) kwa  Maafisa wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA).
Mafunzo hayo yamefanyika Chuoni IFM tarehe 8 hadi 11 Aprili 2025. Mtoa mada alikuwa ni CPA Dkt Erick Mwambuli, Mhadhiri Mwandamizi, Mtafiti, na Mshauri elekezi katika mambo ya uhasibu, fedha na kodi.
Chuo cha IFM kinazingatia ubora wa hali ya juu kwenye kutoa mafunzo.
#TupoJuu#PopoteUtakapokwendaIFMniileile#DareSalaam#Zanzibar#Dodoma#Mwanza#Simiyu#Geita#


2025-04-20 12:13:31

CAMPUSES AND TEACHING CENTRES

All Campuses of The Institute of Finance Management

STRATEGIC PARTNERS

We are proud working with the best team of strategic partners.

Application Window for Postgraduate September Intake 2025-2026 is Now Open - Click Here to apply